MZEE WA KUKERA KIMATAIFA KATUPIA TATU - Dizo Click

Dizo Click

Hot

Post Top Ad

Saturday, 26 February 2022

MZEE WA KUKERA KIMATAIFA KATUPIA TATU

 


Bernard Morrison ametupia mabao matatu kimataifa mawili alifunga mbele ya Red Arrows alitumia dk 90 na alitumia dk 56 mbele ya Red Arrows ugenini ila hakutupia.


Aliwakosa ASEC Mimosas kutokana na utovu wa nidhamu aliibuka mbele ya USGN ya a Niger alitumia dk 26 alitupia bao 1.

Kesho Simba ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya RS Berkane katika mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi ma unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.


Simba ni vinara wakiwa na pointi 4 kibindoni walishinda mchezo wa kwanza dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast na kupata sare moja dhidi ya USGN ya Niger kwa kufungana bao 1-1.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad